samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Mawazo ya kimaskini hayo..fanya kazi hakuna utajiri wa namna hiyo!!Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
Kaka hii chit chatkuna wengine huambiwa na waganga wakienda kazini na magari waende kwa reverse mpaka kazini na kurudi ivyo ivyo.
ninavyopenda pesa ,,hata nikiambiwa nikutoe kafara wewe mleta uzi samakinchanga mi nakutoa tu.
Kha!!!Kuning'iniza kizazi juu ya mwembe.
Hii ilipata kutokea Tz au kwa Nkulunzinzakuna wengine huambiwa na waganga wakienda kazini na magari waende kwa reverse mpaka kazini na kurudi ivyo ivyo.
Hii ilipata kutokea Tz au kwa Nkulunzinza
Kwani wewe hupendi utajiri....mmmhHaaaa comments za humu zimenichekesha wallah