Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

blueray

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
2,217
423
Ni vizuri Lowassa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;

Aikane CCM hadharani.

Azikane mila za kifisadi za CCM.

Kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa.

Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan na Karamagi.

Aahidi kutosaliti UKAWA.

Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo CHADEMA kwa sababu CHADEMA waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi.

Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako.

Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA.
 
Mkuu usitoe matusi toa hoja. Anaweza kujitetea Na kutoa ushahidi ukashangaa kumbe Lowasa hakuwa fisadi

sio matusi, anashangaza kusema apewe uanachama NCCR na sio CHADEMA,Kwanin NCCR?kwan chadema hawawez kumsafisha kama sio fisadi, tuache ubinafsi maana ubinafsi ndo kikwazo kikubwa cha mabadiliko na ili tupate mabadiliko tusisimame kama chadema au nccr au cuf tusimame kama UKAWA Thats all
 
Awe mwanachama wa kawaida tu asipewe uongozi

Kama akikubalika ni vizuri apewe uongozi Wa juu. Lowasa ana vision na ana watu wengi wanampenda hivyo atasaidia kuunganisha watu na kuleta maendeleo
 
Ni vizuri Lowasa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;

-aikane CCM hadharani
-Azikane mila za kifisadi za CCM
-kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa-
-Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan Na Karamagi-
-Aahidi kutosaliti UKAWA-
-Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo Chadema kwa sababu Chadema waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi
-Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako
-Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA-

mkuu ikumbukwe hitaji la mamv c ubunge wala uwazir bali ikulu fulstop.kama anakarbishwa hil ndo hitaji zingne mbwembwe. napita
 
Masharti magumu sana kwa lowasa kwakua nia na dhumuni kubwa la lowasa ni kushika dola 2015 sasa kama ukawa hawatomuakikishia nafasi ya kua mgombea uraisi nadhani aendi popote....
 
Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.

Uwezekano huo ni finyu sana kama vile kumlamisha ngamia apenye kwenye tundu la sindano!
 
once a gunner always a gunner.
huyo alianza wizi kitambo tangia akiwa morani. miaka 20 iliyopita nuasisi wa taifa hili alimkataa hadharani.
suala la kumuambia asigombee urais hamtaelewana maana hiyo yeye ana iita safari ya matumaini.

Ni vizuri Lowasa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;

-aikane CCM hadharani
-Azikane mila za kifisadi za CCM
-kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa-
-Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan Na Karamagi-
-Aahidi kutosaliti UKAWA-
-Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo Chadema kwa sababu Chadema waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi
-Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako
-Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA-
 
sio matusi, anashangaza kusema apewe uanachama NCCR na sio CHADEMA,Kwanin NCCR?kwan chadema hawawez kumsafisha kama sio fisadi, tuache ubinafsi maana ubinafsi ndo kikwazo kikubwa cha mabadiliko na ili tupate mabadiliko tusisimame kama chadema au nccr au cuf tusimame kama UKAWA Thats all

Ukawa ni chama gani?
 
apewe tu nafasi ya juu maana nguvu aliyo nayo ni rahisi san kuitoa ccm madarakani
pia hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa cha msingi anatakiwa kujisafisha yeye mwenyewe kabla wengine hawajamsafisha
 
UKAWA hapana aende ACT ili akakiinue kikikomaa basi wanaweza kumuachia ukiongozi mkuu wa chama.
 
Ni vizuri Lowassa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;

Aikane CCM hadharani.

Azikane mila za kifisadi za CCM.

Kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa.

Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan na Karamagi.

Aahidi kutosaliti UKAWA.

Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo CHADEMA kwa sababu CHADEMA waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi.

Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako.

Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA.
Kwi kwi kwi kwi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom