Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

apewe tu nafasi ya juu maana nguvu aliyo nayo ni rahisi san kuitoa ccm madarakani
pia hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa cha msingi anatakiwa kujisafisha yeye mwenyewe kabla wengine hawajamsafisha
Kweli kabisa Na Lowasa si mbaya sana hata kuliko mafisadi wanaogawana Pesa za escro hadharani
 
Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.

Uwezekano huo ni finyu sana kama vile kumlamisha ngamia apenye kwenye tundu la sindano!

Unajua kaka mystery sisi watanzania sijui ata tuna tatizo gani,sijui ata nini kimetufanya watu tusahau uwovu wa el mtu ambae ata watoto wa miaka 10 ukiwauliza fisadi ni nani tz watakwambia ni el.swali dogo la kujiuliza kwa nini el anasaport kubwa ya wafanya biashara ambao kalibu wote hawaelewani na mkwere.utagundua el anataka kwenda ikulu kwa maslai binafsi maslai ya kundi furani na si maslai ya nchi.
 
Hakuna mtu anayethibitisha ufisadi Wa Lowasa. Tumeona mafisadi hadi Wa escro lakini bado wanapeta ndani ya CCM!
 
Tambua kua kwa kiongozi kua kwenye kashfa tu ya ubadhilifu ilo ni dowa teyali..na pia io issue ya escrow unayo iongelea nadhani bado nayo hatuna ushaidi pia juu ya hao watuhumiwa(prof muhongo)..
 
Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.

Uwezekano huo ni finyu sana kama vile kumlamisha ngamia apenye kwenye tundu la sindano!
Ni kweli Masharti ni magumu lakini yanawezekana. Inabidi Lowasa afanye Maamuzi magumu.

Kule CCM hawamtaki. Pia hatutaki aje kuvuruga vyama ndani ya UKAWA. Ni vizuri akaingia smoothly.
Hayo masharti ni compromise nzuri kwa pande zote
 
Tambua kua kwa kiongozi kua kwenye kashfa tu ya ubadhilifu ilo ni dowa teyali..na pia io issue ya escrow unayo iongelea nadhani bado nayo hatuna ushaidi pia juu ya hao watuhumiwa(prof muhongo)..

Mkuu Hakuna ushahidi ulio wazi Kama Wa escro. Sema escrow tume haikuundwa tungesikia mengi
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike mana tayari AMESHAKATWA
SINA IMANI NA UKAWA
 
mkuu ikumbukwe hitaji la mamv c ubunge wala uwazir bali ikulu fulstop.kama anakarbishwa hil ndo hitaji zingne mbwembwe. napita

Umeongea ukweli mtupu ICE ON FIRE jamaa hayupo kwa ajili ya kuleta mabadiliko yupo kwa ajili ya kuutaka urais tu.
 
Mi naona bora ajipumzikie tu, katika maisha si lazima upate kila unalolitaka.
 
Unajua kaka mystery sisi watanzania sijui ata tuna tatizo gani,sijui ata nini kimetufanya watu tusahau uwovu wa el mtu ambae ata watoto wa miaka 10 ukiwauliza fisadi ni nani tz watakwambia ni el.swali dogo la kujiuliza kwa nini el anasaport kubwa ya wafanya biashara ambao kalibu wote hawaelewani na mkwere.utagundua el anataka kwenda ikulu kwa maslai binafsi maslai ya kundi furani na si maslai ya nchi.
Mwalimu Nyerere alituusia kuwa ukimuona mtu anakimbilia Ikulu kwa udi na uvumba tena yuko tayari kutumia hata mabilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhonga honga watu ili aingie Ikulu, mtu huyo ni wa kumwogopa kama ukoma.

Lakini inashangaza mno jinsi watanzania tulivyo wasahaulifu hadi Lowassa alipoulizwa pesa zote hizo alizokuwa anazimwaga ovyo kazipata wapi, akajibu kirahisi tu kuwa kapewa na rafiki zake, lakini hakutufumbulia 'fumbo' la kwa vipi pesa hizo 'alizoazimwa' na rafiki zake atakavyozirejesha wakati atakapotinga Ikulu wakati anajua fika kuwa huko Ikulu hakuna biashara yoyote.
 
Mkuu Hakuna ushahidi ulio wazi Kama Wa escro. Sema escrow tume haikuundwa tungesikia mengi
Na ukumbuke anae faha kua raisi ni yule mtu asie na kashfa ambae ahanzi kwa kutetewa kwa wananchi....el alikua lazma ahanze kwa kutetewa kua yeye sio mwizi.so afahi kuwa raisi uyo.monduli inamtosha.
 
Wewe huku atupokei watu design kama hiyo. Kitu kiwa damuni hata ukane vp hakibadiriki labda ubari damu
 
HUKO UKAWA Mhhhh"! kile kibabu Slaa kitamtoa nduki. Labda aende kwa zitto ili wasaidiane kuipaisha ACT
 
Back
Top Bottom