madada wa dar es salaam ndio wanawapenda masharobaro
Wale sio wagumu mbona? Kumbe wagumu huwajuiRaha ya kuwa na mwanaume awe mgumu kama Johmakini au fidq raha sana, mwenyewe unajiona uko na mwanaume kamili hata asiwe na hela.
Sio hivyo vitoto vya mama mbwembwe nyingi afu vinakuwaga laini.
ha ha safi sana dada mwanaume mgumu ndo mchakalikajiRaha ya kuwa na mwanaume awe mgumu kama Johmakini au fidq raha sana, mwenyewe unajiona uko na mwanaume kamili hata asiwe na hela.
Sio hivyo vitoto vya mama mbwembwe nyingi afu vinakuwaga laini.
Angelita ni kijiji gani dunia ya leo utaenda kusalimia kwa mfano then watu wakakushobokea?Mfano kijijini kwetu maendeleo yapo kila kitu unapata kuanzia mawasiliano,umeme na vitu vya gharama kama smartphone za bei juu hata aliyepo hapa dar uwezo wa kununua hana.Ingekuwa hivyo dada zenu huko vijijini wasingekuwa wanatiwa hovyo mimba na hivi visharobaro vikienda kusalimia.
Wale sio wagumu mbona? Kumbe wagumu huwajui
hao unaosema wagumu pengine kupanda mlima kilimanjaro wanaishia kituo cha kwanza.Raha ya kuwa na mwanaume awe mgumu kama Johmakini au fidq raha sana, mwenyewe unajiona uko na mwanaume kamili hata asiwe na hela.
Sio hivyo vitoto vya mama mbwembwe nyingi afu vinakuwaga laini.