Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

Hii Ni Movie imetengenezwa kwa sababu za Kisiasa hakuna kitu hapo! Askari wanayedai ameuwawa kwenye mapambano amezikwa kimya kimya WHY? Hana Jina? Mbona waliokufa DRC & DARFUL walilzikwa kwa heshima zote za Kijeshi why NOT This One?
 
Yap! Hili sinema litaisha kwa stahili ya yule mtekaji wa Dkt. Ulimboka baada ya kanusho la Mchungaji Gwajima!
 
Hiyo muvi inatakuwa sababu ya kukataa vibali vya UKAWA kufanya mikutano yao ya siasa! Tusubiri tuone!
 
Wewe Unadhani Per Diem Itapatikana Vipi? Vijangili Vidogo Tu Vinatutoa Jasho Je Mwanamume Paul Kagame Tutamuweza?

Maviiiiiii.... Mwambie ajaribu ka nchi kama rwanda ambacho kinazidiwa idadi na wachagga peke yao hakawezi kututisha sisi
 
Hii ni sawa na bongo movie jini kuvuka barabara kwa kuangalia kushoto na kulia au afisa kilimo kutembelea mashamba ya mpunga na suti.
 
Hii Ni Movie imetengenezwa kwa sababu za Kisiasa hakuna kitu hapo! Askari wanayedai ameuwawa kwenye mapambano amezikwa kimya kimya WHY? Hana Jina? Mbona waliokufa DRC & DARFUL walilzikwa kwa heshima zote za Kijeshi why NOT This One?

mkuu hii habari ya vita ambani tanga ni kweli kabsa,hakuna maigizo,sema majangili pia walkuwa na slaa kali ndo mana jeshi walishindwa,nko apa apa tanga,vita vya cku mbili ilikuwa.nmefka eneo la tukio pia.
 

Basi ingeitwa GISS sio TISS.
 

Askari wakiwa kwenye mapango ya Amboni Tanga juzi walipokuwa wakiwasaka watuhumiwa.
 
Kila siku ndio limekuwa likitumika kujazia kura za Zanzibar ili CCM ipete!. October hii utawashuhudia vuzuri huku bara!.

Pasco

Huwa wanalipwa nini baada ya huo uhuni ? au ndo wanashushiwa bei ya bia shilingi mia mbili kwenye mabwalo yao ?
 
Maviiiiiii.... Mwambie ajaribu ka nchi kama rwanda ambacho kinazidiwa idadi na wachagga peke yao hakawezi kututisha sisi

Mkuu, kwa taarifa yako Rwanda ina population ya watu mil 11.Kusema wanazıdiwa kwa idadi na Wachaga ambao ıdadi ya haizidi watu mil 2 umepotoka.Pia fahamu eneo lolote lıkıshafikia sifa ya kuwa nchi, hcho ni kitu kingine.Mkoa wa Kagera pekee nı mkubwa kuliko nchi nzima ya Rwanda na Burundi,lakn vp ukitazama maendeleo ya Kagera kama mkoa na Rwanda kama nchi?
 

kwann umeichagua kagera na sio arusha...linganish maendeleo ya arusha tu na hako ka rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…