Mashangingi ya CHADEMA!!

Ruzuku kwa vyama inatokana na kodi za Watanzania.
 

Mkuu ingekuwa vizuri ungeweka bei za Tanzania na costs zake mpaka lifike Tanzania.

Umesema gari ni dola 30,000 kwa chenji ya sasa hivi ni milioni 48 weka ushuru na usafirishaji ndio tujue bei yake mkuu.
 
Mkuu Ringo Edmund,

Mi mzima bu heri wa afya isipokuwa mfuko umekauka unajua pasaka ilikomba vijisenti vyangu vyote.Mkuu RE unajua kuna tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi nimeanza kuona hii hali hata mitaani wanzi wa CDM hawataki kukosolewa,kuulizwa jambo lolote,kudadisiwa na nk.Ukiuliza swali hawakawi kukupachika majina ya kuzimu maana ya hapa dunia wamashamaliza yote.

Mkuu Kingarama kauliza swali dogo sana nilitegemea watakuja watendaji,wapenzi au viongozi wa CDM kutoa ufafanuzi including lile sakata V8 la KU limemalizika vipi !.Badala ya majibu mjadala unaelekezwa kwenye kejeli au hii ni mbinu ya kuficha maovu ?.



ngongo habari yako bana?hivi unajua tofauti ya hizo gari unazoongelea?
chadema hakuna v8 hata moja,kumbe arusha kuna wanafiki?mi nilifikiri ni mji wa wajanja tu.
 
Usije ukaigusa cdm hapa jamvini kwa jambo lolote ni negative,wanachama wake hapa lazima watatoka povu mbayaaa! Lazima wale sahani moja na wewe mpaka ukubaliane nao. Usirudie tena we kigarama kuleta ishu za cdm hapa
 
Huyu jamaa kapost kwenyr fB ukurasa wa myika na bado tu anahangaika na hii hoja yake nyepesi, kweli magamba wameishiwa
 


Hali mbaya sana , hawa jamaa ni wanafiki kama SITTA alivyosema. yaan alivyoacha lile gari kwa mbwembwe kisha akalirudia kimya kimya hatari sana
 
kwanzia lini umekua msemaji wa chadema? Kama sio msemaji wa chadema leta source hapa umbea hatutaki.
Kuna kamsemo kanasema hivi:" Baba yako akiwa mlevi -chapombe wa kutupwa, halafu vijana wenzio wakakuambia chademamember dah mshua wako jana alikuwa chicha -mtung,i bwakisi, mbwaa anajisaidia barabarani" Utakuwa mkali( mbogo cha mtoto), hata ngumi unaweza kuwadunda wenzio labda wakuzidi ubavu.TAFAKARI. HAKUNA MTU ALIYE TAYARI KUAMBIWA MABAYA KUHUSU MZAZI WAKE.
 
Mengi ya magari wanayotumia wabunge wamenunua kwa mkopo waliopewe tena magari yenyewe ni used na mikopo hii wanakatwa kwenye mishahara yao kwani ni magari yao binafsi ,lakini unapokuja upande wa serikali yali magari ni mapya tena curreny year models hivyo bei yake ni juu sana. kinachotakiwa watumie magari mdogo (saloons) ya kawaida wawapo mjini kama ni safari yawepo machache central pool kwa ajili ya safari za vijijini ili tukajenge kwanza haka kanchi tukwamuke hapa tulipokwama hadi hapo baadae hali ikitengemaa wajirushe watakavyo.
 

Kwa hiyo mkopo ni mali ya wananchi au ya mkopaji? uwezo wako umefika dot ya mwisho. Ina maana wewe ukimkopesha mtu akijenga au nunua nyumba, nyumba ni yako?
 
nyinyi mashabiki wa vyama ingekua amri yangu mnastahili KUNYONGWA eti cdm kila wanachofanya wako sahihi,watu wanakufa njaa watu wanapeana mikopo ya 90 m za magari,hizo ni kodi zetu.mshahara wa slaa na magari ya chama yanatokana na ruzuku ambao ni kodi yetu.hivyo mtoa mada na sisi tuna haki ya kuhoji.acheni ushabiki wenu na kuwa ushabiki huu mtafanya cdm iwe kama ccm maana ata wakikosa hakuna wa kusema.tuwaseme ili wabaki ktk misingi sahihi
 

wote ni walewale tu!
 
I persue you all guys are right, but wheather cdm is an inconscistancy or concistancy in its prapaganda, I do not care. All I stand for is that I am real tired of ccm and we are many of that sort.
 

Kama ni mkopo tatizo ni nini? Si wanalipa
 

Umerudi!! tokea Mbamizwe kule Arumeru hujatia masaburi hapa jamvini lakini ukiona thread za kimbea unaingiza team. Kweli unaenda na hiyo ID yako
 
Nimeuliza swali langu hapo awali la utaratibu wa Mkopo wa m90 wapewao wabunge kama una Riba au la, mbona Sipewi majibu??????
 
Hoja ni Mashangingi ya CDMA au yaliyonunuliwa na CCM kisha kutumika kwa Mbowe na Mshahara wa Slaa nalo ni Shangingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…