Mashambulizi ya Iran yaua watu nane Syria

Mashambulizi ya Iran yaua watu nane Syria

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,355
Reaction score
16,408
Watu 8 wauawa Syria katika mashambulizi ya Iran

Kiasi ya watu wanane wameuawa baada ya kikosi cha Mapinduzi cha Iran kushambulia maeneo ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS kusini mashariki mwa Syria. Shirika linalofuatilia haki za binaadamu nchini Syria, limesema leo kuwa halifahamu kama waliouawa jana katika shambulizi la makombora walikuwa wapiganaji wa IS au raia. Kwa mujibu wa shirika hilo, moja ya makombora lililenga katika nyumba ya wapiganaji wa jihadi kwenye jimbo la Deir al-Zour. Jana jeshi hilo lilisema liliyashambulia maeneo ya IS nchini Syria na kusababisha vifo vingi na kwamba mashambulizi hayo yalikuwa ni katika kujibu shambulizi lililofanywa wakati wa gwaride la Iran wiki iliyopita katika mji wa Ahvaz ambapo watu 25 waliuawa. Shirika hilo la haki za binaadamu limesema hii ni mara ya kwanza majeshi ya Iran nchini Syria yanashambulia maeneo ya IS.

Dw
 
HAO JAMAA WANA HASIRA YA VIKWAZO MUDA MREFU, WANAWEZA WAKATUMIA MASHAMBULIZI MAKALI KWA YYTE ATAKAE WACHOKOZA MUDA HUU
 
Mkuu mi nilisikia kuwa yalirushwa kutoka kwenye drones na siyo Ardhi ya Iran. Lakini, kama yangerushwa kutoka Ardhi ya Irani nadhani ingekuwa rahisi kuwa intercepted. Nawaza tu lakini.
Uko sahihi yalirushwa na wanajeshi wa Iran Hapo Syria
 
"Kazakh Woman" reveals an Iranian channel on ballistic missiles! (photo) Iran kwa Propaganda ni viboko
  • 1538575647.jpg


  • 1538575647.jpg


  • 1538575647.jpg


A report by Iran's Al-Alam channel sparked a wave of ridicule on social networking sites after the report used a picture of a woman as a leader in the Daqash organization who was killed in the Iranian bombing of ballistic missiles two days ago east of Syria.

The director of the office of the Arabic-language channel of Iran, in Damascus (Hussein Mortada) put a picture of a woman forgiven from Kazakhstan as a leader in the organization.

"The woman who appeared in the report is a 70-year-old Kazakh citizen, who lives in the south of the country and has a beard and a mustache," she said. "Maybe because of a hormonal imbalance," according to the website.

The site confirmed that the Iranian media, which published the report, deleted the photo hours later, after it ridiculed the leaders of the media sites. Instead, it published a video of the moment of the rocket fire towards Syria, pointing out that Iranian-known Persian-speaking sites republished the story with the same picture of the Kazakh lady Including Iran's Khobar Online.

For his part, published the site (Sputnik) Russian-speaking Persian, a report on this woman and how to deal with it in Kazakhstan, in the denial of the report of the channel (the world).

According to Al Arabiya.net, al-Alam TV had published the report under the headline "The killing of the terrorist leader of the Da'ash terrorist group, Abu Ali al-Mashhadani, one of the leaders of the first row in organizing the Islamic Revolutionary Guard Corps missiles."

"Abu Ali al-Mashhadani is the security chief of the Mosul area in Iraq, and was killed as a result of targeting the headquarters of the organization near the school of Sousse primary missile Revolutionary Guards."

On Monday, Iran launched strikes with ballistic missiles targeting eastern Syria. Iranian media claimed that the strike had killed the Da'sh tribe and said it was in response to the Ahwaz attack that killed 29 members of Iran's Revolutionary Guard militia a week ago.
1538575656.jpg
1538575662.jpg
1538575672.jpg
1538575697.jpg
 
Back
Top Bottom