Mashamba yanapatikana Bagamoyo

KIKAZI

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,369
Reaction score
1,517
Habari zenu Wanajamvi?
Natumai ni wazima wa afya niende moja kwa moja kwenye ujumbe ulionipelekea kufungua thread hii.Kutokana na ongezeko la shughuli za ujasiliamali mfano kilimo na ufugaji ardhi imekua ni nyenzo muhimu katika kuwezesha ufanisi katika shughuli hizo.

  1. Napenda kuwataarifu wadau mbalimbali wanaopenda kumiliki ardhi kuna Mashamba yanapatikana maeneo ya Kiwangwa(Bagamoyo) njia ya kuelekea Msata.
  2. Bei ni Tsh 700,000/= kwa kila Heka na zipo 4Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Msata.
  3. Hayo Mashamba yanamilikiwa na Wenyeji yani wakazi wa Msata wana hati za vijiji .
  4. Hayo Mashamba yanastawisha mazao kama vile Nanasi,Mpunga,Tikitimaji,Mahindi,
Kuna msemo unasema Little is more than nothing nawasilisha Asanteni sana
 
Nataka shamba pembeni ya mto ruvu
unaweza niuzia?kiasi gani eka?
 
weka namba mkuu naona kama hujakamilisha vizuri tangazo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…