Mkuu bado yapo maeneo?
Mkuu kidogo sikuelewa.
Hayo ni mashamba matupu-sehemu/ardhi iliyo waz kabisa au yana miti yoyote au mimea yoyote?Kama yana miti yoyote kama ya miaka mingapi?
Hapo ni umbali gani(KM au muda nitajua tu) kutoka Kibao.Na je gari inafika shambani kabisa au KM ngapi kutoka shambani.Kuna majirani?bei ni nzuri nikijua hayo naweza kujikongoja.
...je nikinunua ninapata na hati miliki au tunauziana kienyeji?
ntafanyeje nstapeliwe? vp kama naishi mbali nataka npande miti labours wapo?
i mean hatimiliki napata? Sio eneo la govt?ndio ndugu wafanyakazi wa kupanda miti wapo wa kutosha. Kutapeliwa unakozungumzia weye ni kupi?
Be mkwamisi wigusa imigunda jangu?
Ndibita kwa Chimbilongo kwidetelo kukuhavila
i mean hatimiliki napata? Sio eneo la govt?
sasa wewe unanaka upewe bure? kwa bei ya 110,000 ni reasonable kabisa inaonekana huna itarest au unapenda vya kunyongabei yako kubwa.. acha kupandisha bei kihivyo bana.. igeleke mashamba hayajafikia bei yako ya 110,000. hata nusu yake unapata.
bei yako kubwa.. acha kupandisha bei kihivyo bana.. igeleke mashamba hayajafikia bei yako ya 110,000. hata nusu yake unapata.
Mkuu hayo mashamba bado yapo?