Ramp Agent
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 272
- 194
Kwanzaa mkuu shukrani sana kwa kunitoa kwa izi ABC mwaka jana nilitaka kulima ila jama niliyemtegemea angenipa muongozo akanikatisha tamaa kabisa.Mkuu,siwavunji moyo hapa nawaonjesha tu changamoto za huku,na mwenye swali asisite kuniuliza,ili siku yakikukuta ukumbuke.Ghala lipo na ni la chama.Hivyo,ukivuna unaweza kutunza mpunga wako mpaka utakapoamua kuuza.Gharama za kutunza,nilisikia ni 2,000 kwa siku(japo uhakika sina,mpaka niulize),ila nimesikia kipindi furani hao hao tunaowasema walivunja na kuiba mpunga wa watu.Sasa mpaka mwizi atafutwe,kesi iende,ulipwe ni leo? Mi naonaga tu uuzie shamba hapo,wanaonunua wanaanika wenyewe,au utafute sehemu kijijini uupeleke uombe hifadhi uwe unaanika mwenyewe,ukimaliza toa shukrani zao,safirisha,uza au koboa mwenyewe
Mkuu kama hutojali nitakutafuta next weekend. Kifupi nahitaji kuwa mwanachama
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu shukrani sana sema nataka kujua na bei ya kuuzia shamba kwa gunia na ata kuuzua sokoni kama unajua ili huu mchanganuo ninaotakaa kuuandaa hapa uwe perfect
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu shukrani sana sema nataka kujua na bei ya kuuzia shamba kwa gunia na ata kuuzua sokoni kama unajua ili huu mchanganuo ninaotakaa kuuandaa hapa uwe perfect
Post sent using JamiiForums mobile app
Nimekupata vyema mkuu ngoja nianze kusaka ka mtaji nije kujitosa uko.Hapana,sikushauri hiyo kitu,kwanza uje shamba ukijua kuna kupata na kukosa.Ukianza kupiga hesabu ya faida leo kabla hujaziona changamoto zenyewe,utakata tamaa,wewe jipange,kama utasimamia mwenyewe,andaa kama 2.5M,ukihudumia shamba ipasavyo hela yako na faida utaiona.Nakushauri mara ya kwanza ichukulie kama darasa,japo hutapata hasara.
Bei hutofautiana kutokana na wanunuzi,na mzigo ulionao,na ubora wa zao lako.Sasa nikikwambia ni bei hii ntaongopa.Ila mi najua ni 100,000 kwa junia la 100kg, na wapo wengine wanauza 80kg kwa hiyo hiyo laki moja
Nimekupata vyema mkuu ngoja nianze kusaka ka mtaji nije kujitosa uko.
Post sent using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu ila naomba unisaidie full addressKaribu. Mi si mchoyo wa msaada uliyopo ndani ya uwezo wangu.Andaa barua ya maombi ya uwanachama,muandikie "Mwenyekiti wa Chama"
na picha yako ndogo,upeleke ofisini,jibu lako badae,ukishakubaliwa utawaandalia pesa zao hizo nilizozitaja
Mpunga mkuu, nimewahi kulima msimu mmoja swala la muhim kama ulivyosema ni usimamizi, vijana kule wahuni sana, ila changamoto kubwa kabisa ya kule ambayo ni mafuriko naona hujawaambia mkuu.Maeneo yapi unayoyazungumzia mkuu? Kama ni kilimo cha mpunga,ndio,ni CHAURU,kama ni matunda na mbogamboga,havilimwi CHAURU
Gharama za kutunza ni 300 kwa mwezi mkuu kwa gunia moja.Mkuu,siwavunji moyo hapa nawaonjesha tu changamoto za huku,na mwenye swali asisite kuniuliza,ili siku yakikukuta ukumbuke.Ghala lipo na ni la chama.Hivyo,ukivuna unaweza kutunza mpunga wako mpaka utakapoamua kuuza.Gharama za kutunza,nilisikia ni 2,000 kwa siku(japo uhakika sina,mpaka niulize),ila nimesikia kipindi furani hao hao tunaowasema walivunja na kuiba mpunga wa watu.Sasa mpaka mwizi atafutwe,kesi iende,ulipwe ni leo? Mi naonaga tu uuzie shamba hapo,wanaonunua wanaanika wenyewe,au utafute sehemu kijijini uupeleke uombe hifadhi uwe unaanika mwenyewe,ukimaliza toa shukrani zao,safirisha,uza au koboa mwenyewe
Mpunga wako hauibiwi na kama ikitokea chama kinakulipa coz unapewa na risiti kabisaMkuu,siwavunji moyo hapa nawaonjesha tu changamoto za huku,na mwenye swali asisite kuniuliza,ili siku yakikukuta ukumbuke.Ghala lipo na ni la chama.Hivyo,ukivuna unaweza kutunza mpunga wako mpaka utakapoamua kuuza.Gharama za kutunza,nilisikia ni 2,000 kwa siku(japo uhakika sina,mpaka niulize),ila nimesikia kipindi furani hao hao tunaowasema walivunja na kuiba mpunga wa watu.Sasa mpaka mwizi atafutwe,kesi iende,ulipwe ni leo? Mi naonaga tu uuzie shamba hapo,wanaonunua wanaanika wenyewe,au utafute sehemu kijijini uupeleke uombe hifadhi uwe unaanika mwenyewe,ukimaliza toa shukrani zao,safirisha,uza au koboa mwenyewe
Kwa kipindi cha misimu mitatu iliyopita ilikuwa 600 kwa kilo so inategemea na gunia utakazokuwa umepata.. Muhim ni kuutunza godown kama miez 2 hvi ambapo bei hupanda hadi 1300,ukivuna na kuuza hupati kitu coz bei zinakuwa chini sana kipindi cha mavunoMkuu shukrani sana sema nataka kujua na bei ya kuuzia shamba kwa gunia na ata kuuzua sokoni kama unajua ili huu mchanganuo ninaotakaa kuuandaa hapa uwe perfect
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nimekupata vyema nitakuchekiWewe njoo ufanye kazi,siyo ujitose.
Kwa sababu,mali zipo shamba,asikudanganye mtu.Wenyeji huku mtu analima ukubwa wa sebure,anajiona amelima na anaishi,kwa mtaji usiozidi laki 2,je wewe na mtaji wako,utashindwa kufanikiwa?