BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,213
- 1,278
Huko Ruvu wanalima mpunga (wakati wa masika), na baada ya kuvuna mpunga, wanalima nyanya, bamia, tikiti na mazao mengine ya muda mfupi.
Hahaaa naona kila mtu anaomba contact.Hivi wote kweli mna nia ya kulima au kuuliza tu kama mashamba yapo.
kama wote mkilima kweli mtabadilisha uchumi wenu na wa wengine kwa kiwango kikubwa.
Kilimo kinalipa sana ukiamua kujitoa,mwenyewe ni mkulima hivyo nawatia moyo kuwa msonge mbele na kilimo hasa cha matunda na mboga kinalipa sana kwa muda mfupi

Mkuu wengi tunataka kilimo. Tunaomba mtuwekee kabisa bei ya kukodi shamba kwa kila eka hapa hapa jamvini ili tuwasiliane na mhusika tukiwa tumepata taarifa ya kutosha na kujiandaa.
Nimeshakutumia contacts za mwenye masahamba ya kukodi huko Ruvu.
mkuu na mimi naomba contacts za mwenyeji wa apo ruvu anyekodisha mashamba. ShukraniMashamba ya kukodi yapo huko Ruvu.
Nitakutumia PM ya contacts za mwanakijiji mwenye mashamba hayo.