Mashamba ya kukodi mkoa wa Pwani na kwingineko

Mashamba ya kukodi mkoa wa Pwani na kwingineko

Mkuu2015

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Habari wanajamvi?

Naomba kujuzwa juu ya taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kukodi mkoa wa pwani na kwingineko..mwenye taarifa au namba za simu naomba anijuze tafadhali..

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom