Kilimo cha mahindi (umwagiliaji) Utengule, Ipo wilaya ya mbeya vijijini, unaingilia mjimdogo wa mbalizi. Kutoka mbeya mjini had utengule nauli ni kati ya sh. 2000 had 4000.
ni sehemu nzuri sana kwa kilimo cha umwagiliaji na watu wanafsnya hayo tangu kitambo
Kuna mifereji inayotiririsha maji muda wote hata kiangazi kikali...
Watu wanalima nyanya pia
niulize zaidi kama una swali