Mashairi ya Nikki wa Pili kwenye wimbo wa Niaje Nivipi ndio mashairi bora ya HipHop kuwahi kutokea bongo

Mkuu hyo mistari mbona mepes sana na pia alichokiimba tofaut na vile anaish yaan Sio real
 
Kuna GENIUS mmoja anaitwa DIZASTA VINA ni mtoto wa mbeya city mtaa wa nonde kwa mama. Sio mwimbo mmoja wala mbili ni zote namaanisha zote. Sikiliza arfu utajitukana sn mwenyew
 
Ila tukiacha "wivu wa kijinga" hii verse inahitaji tuzo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…