Mashairi ya Nikki wa Pili kwenye wimbo wa Niaje Nivipi ndio mashairi bora ya HipHop kuwahi kutokea bongo

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,453
2,000
Kuna uzi nilikuuliza wewe ni niki wa pili au chawa wake?

Kwanza mashairi ni mazuri, ila sio bora kuliko yoote ya hip hop...

Pili niki alivyoingia, alichana kama underground vile

Hebu weka masikioni mwako, ielewe mitaa au neno ya fid q, uone kama utatamani hata kuweka hayo mashairi yako hapa.

Ilipaswa useme mashairi mazuri tu, sio bora kuliko yoote.
 

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,117
2,000
Profesa Jay chemsha bongo ndio wimbo bora wa hip hop wa muda wote,, mashairi mazuri,ujumbe Mzuri na kiswahili chenye kueleweka, hao jamaa wa arusha cha kwanza wazungu sana, hii imepelekea hata kutokuelewa wanachokiimba ni kuzungu au kiswahili.
Sikiliza vizuri niaje nivipi
 

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,117
2,000
Kuna uzi nilikuuliza wewe ni niki wa pili au chawa wake?

Kwanza mashairi ni mazuri, ila sio bora kuliko yoote ya hip hop...

Pili niki alivyoingia, alichana kama underground vile

Hebu weka masikioni mwako, ielewe mitaa au neno ya fid q, uone kama utatamani hata kuweka hayo mashairi yako hapa.

Ilipaswa useme mashairi mazuri tu, sio bora kuliko yoote.
Ni Bora kuliko yote, case closed
 

kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,875
2,000
Hapana, Mimi ndio bwana wako
Ulikuwa unamsifia kama demu wake. Nikadhani wewe ni huyu katika picha

F1012F8E-4A63-474D-B78A-3B8CD2F94D93.jpeg
 

SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
524
1,000
Not even the best in that song. Verse ya Joh Makini ilikua kali kushinda ya Nikki. Inawezekana huijui hip hop ya bongo, au wewe ni Nikki wa pili umeamua kujisifia.

Kasikilize hizi kitu;
  • Propaganda ya Fid q
  • Pure number ya One the Incredible
  • Young, gifted and black ya One the Incredible
  • Nyakati za mashaka ya Nikki Mbishi
  • Mtazamo ya Afande Sele
  • Ukisikia paa (remix) ya JCB
  • Hawatuwezi ya Nako 2 Nako


Humo ndani utakutana na watu wanaojua kuandika mashairi.

Yani umeshindwa hata kuikumbuka verse za Stamina kwenye wimbo wake wa "Kabwela"? Hiki kizazi cha miaka ya elfu mbili ni empty set kabisaa!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom