Registered_jf JF-Expert Member Joined Nov 27, 2024 Posts 1,216 Reaction score 2,083 Jun 19, 2026 #1 Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo: Mashahidi (JW) Wasabato (SDA) Wamormoni (LDS) 1) Makao Makuu 2) Viongozi wa juu 3) Ubatizo 4) Vitabu 5) Wamishonari 6) Makutano makubwa 7) Vijana wa Bwana ni Jeshi kubwa π 8) Random (Nb: Mimi sio muumini wa kanisa lolote hapo. YESU atarudi tumechoka sana.) JESUS IS LORD! MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS! π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo: Mashahidi (JW) Wasabato (SDA) Wamormoni (LDS) 1) Makao Makuu 2) Viongozi wa juu 3) Ubatizo 4) Vitabu 5) Wamishonari 6) Makutano makubwa 7) Vijana wa Bwana ni Jeshi kubwa π 8) Random (Nb: Mimi sio muumini wa kanisa lolote hapo. YESU atarudi tumechoka sana.) JESUS IS LORD! MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS! π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,846 Reaction score 100,033 Jun 19, 2026 #2 Hmm hao Jw kwakweli wana style yao!
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,386 Reaction score 31,435 Jun 19, 2026 #3 Hao wengine sijui, ila kuhusu SDA hao jamaa ni Bora walale kitanda kimoja na shetani kuliko kulala na mkatoliki
Hao wengine sijui, ila kuhusu SDA hao jamaa ni Bora walale kitanda kimoja na shetani kuliko kulala na mkatoliki
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,022 Reaction score 26,646 Jun 19, 2026 #4 Ni moja, ni moja tena, ni moja leo Ni moja asili yake ni Yesu Kristo, Ibada moja mafundisho yaleyale Limeenea ulimwengu mzima Mimi mkatoliki
Ni moja, ni moja tena, ni moja leo Ni moja asili yake ni Yesu Kristo, Ibada moja mafundisho yaleyale Limeenea ulimwengu mzima Mimi mkatoliki
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,454 Reaction score 196,156 Jun 21, 2026 #5 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw