Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mashada ni top web forum in Kenya?
Baada ya kifo cha kimya kimya cha Youngafrican.com, nilihamia mashada.com... hata hivyo hali ya hewa kule ilinishinda.
Mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa 2005.. akiwa Bongo... Ila Kamanda unakumbukumbu nzuri kwa visura!Aisee Katya Irina yuko wapi?
Watu wa Mlima Kenya uwiiiiiiii.leo nimemsikia Uhuru akidai Wa Ameru wasikubali kugawanyika wachague kwa pamoja na wasimwache Uhuru katika wakati huu ambao anawahitaji,anadai tokea enzi za baba yake wamekuwa pamoja iweje leo wamtupe?-Ukabila ,ukabila ukabilaNi mara ya pili wanafungiwa hawa. Mwaka 2007 pia walifungiwa, baada ya baadhi ya Wakenya wasio wastaarabu kuanza kupost ubaguzi wa kikabila, kikanda na matusi ya nguoni kwa wagombea. Good job by the government to shut it down, till elections are done.
Ni mara ya pili wanafungiwa hawa. Mwaka 2007 pia walifungiwa, baada ya baadhi ya Wakenya wasio wastaarabu kuanza kupost ubaguzi wa kikabila, kikanda na matusi ya nguoni kwa wagombea. Good job by the government to shut it down, till elections are done.
Baada ya kifo cha kimya kimya cha Youngafrican.com, nilihamia mashada.com... hata hivyo hali ya hewa kule ilinishinda.
Yaani kaazi kwelikweli ndio maana influx ya wasumbufu imeongezeka hapa jamvini, kumbe washatiwa kufuli kule...:A S 100:
Na inaonekana JF ndo tunaelekea huko kama hatutajitambua mapema
Huo ni uonevu bana.uhuru wa kujieleza lazima uheshimiwe period