Mashabiki wote wa Yanga inawahusu!!-

Mashabiki wote wa Yanga inawahusu!!-

Joined
Jan 18, 2014
Posts
36
Reaction score
1
Nawapa pongezi yanga na mashabiki wake wooote!!!,Ni nani kama yanga? kila siku yawa furahisha mashabiki wake.Wengine poleeeni!!,Every body say HURRAAAH!!! LONG LIFE TO YANGA!!
 
Mimi shabiki maandazi kabisa wa Yanga ile kutoka moyoni.
 
Back
Top Bottom