Mashabiki wamkataa Vinicius Junior

Mashabiki wamkataa Vinicius Junior

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
117
Reaction score
387
Mashabiki kadhaa wa klabu ya Real Madrid wameonesha nia ya kutomtaka mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Brazil vinicius junior, baada ya kumrushia maneno katika mtandao wa kijamii.

Vinicius junior kwa msimu ulio malizika hakuwa na makali kama misimu kadhaa nyuma, alidrop kidogo inawezekana ni baada ya kusajiriwa mbappe ana onekana kama hana furaha hivi.

Au ni baada ya kuvunjwa moyo kwa kutoshinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo alipewa Rodrigo, pia ukizingatia vinicius ameshinda mataji mengi makubwa kwa ngazi ya klabu hivyo kama hana tena motivation.

Mpira umejaa unafiki kwa jinsi vinicius junior alivyo tukuzwa kipindi anafanya vizuri, kudrop kidogo kwa msimu mmoja watu wamesahau mazuri yote.


fans-insluting-vinicius-and-asking-him-to-leave-v0-dgiqp3fg168f1.jpg

fans-insluting-vinicius-and-asking-him-to-leave-v0-cp4jwuag168f1.jpg

_20250621_143853.JPG
 
Mtoto hana adabu huyo anajifanya kuvimbia watu uwanjani kila siku bila sababu za msingi
 
Ile game walikuwa na kiwango Cha kawaida sana wangekutana na Flamengo wangepigwa vibaya
 
Vini anaujua mpira ila apunguze ujuaji. Akicheza huku anafahamu anaocheza nao pia wanajua akawaheshimu, atafanya vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom