mashabiki wagoma kuingia uwanjani Arusha

mashabiki wagoma kuingia uwanjani Arusha

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
Leo kuna mechi kati ya Simba na AFC ila kutokana na tiketi kuonesha Tsh 3000 kama kiingilio ila wao wanasema ni Tsh 5000 mda huu so watu wamechachamaa ni hali sio shwari
 
Back
Top Bottom