Mashabiki wa Spain Mabingwa wa World Cup 2026 tukutane hapa

Mbona haji yeye kasema tanzania tunachukua kombe la dunia.
 
Spain hata nusu fainal haifiki....

1.Ureno
2.france
3.Brazil
4.Argentina.
 
Best Wishez Spain. Nasubiri kwa hamu kuwaona vijana wangu wa Barca wakikiwasha ktk jezi ya timu ya Spain.

Yamal, Pedri, Gavi na Olmo ninaamini wataipeperusha vyema bendera ya Spain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…