Mashabiki wa Simba kuipokea Simba hakuna neno, ila wafuasi wa Lissu kusikiliza kesi haitakiwi

Mashabiki wa Simba kuipokea Simba hakuna neno, ila wafuasi wa Lissu kusikiliza kesi haitakiwi

Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?

Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Uwe unatumia akili, mahakama inatosha watu 50 tu,nyie mnaenda elfu tano,uwanja wa ndege pako wazi
 
Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?

Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Uwanja wa ndege ni mahakamani? Mahakamani kuna wahalifu wenye kesi
Simba wana kesi gani ni raia wema wana sherehe yao .
 
Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?

Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Simba hawajatoa kauli yeyote ya kukinukisha, Chadema wana njama ya kukinukisha. Hiyo ndio tofauti mtanzania mwenzangu.
 
Simba hawajatoa kauli yeyote ya kukinukisha, Chadema wana njama ya kukinukisha.
Hebu weka hiyo kauli hapa halafu tuione. Wanataka kukinukishaje?
kwani mashabiki wa simba wamepanga kuzuia uchaguzi?
Kwa ivo CHADEMA kuzuia uchaguzi wangezuia kwenye kesi ya Lissu?
Uwanja wa ndege ni mahakamani? Mahakamani kuna wahalifu...

Mahakamani kukiwa na wahalifu? Umesikiliza hoja za mawakili wa Serikali jana?
Watu hawana time na kesi zenu nyie wekeni mawakili,
Siyo kila mtu hana time na hiyo kesi wapo ambao wana time na hiyo kesi. Sasa wanaotaka kwenda mahakamani haki yao inaondolewa kwa kuwa wengine hawana muda wa kusikiliza hiyo kesi?

Mtu aliyetangaza uasi hakuna kuchekewa. Ukicheka na Braza K utavuna machafuko.
Hivi wewe unajua maana ya uasi kisheria?
 
Back
Top Bottom