Mashabiki wa Morocco waliwapopoa na chupa wachezaji wao kwa Mkapa

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo laweza kutokea a hasa katika mechi ya Simba vs Galaxy, tuombe Mungu yasitokee kwetu. Hali hii hutokea na kufanya timu husika kuondoka uwanjani usiku wa manane chini ya ulinzi Mkali.
 
Galaxy ndo kibonde wa ligi,mechi ya mwisho tunawafunga kifua mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad have been the second most successful Champions League club after Al Ahly of Egypt from 2016, reaching four finals, two of which they won, and never failing to make the knock-out stage.
 
Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kitu kuuliza sio dhambi,
Production ya match za CAFCL zipo chini ya CAF, Media houses zinaweka tu sauti, kwa hio sio azam wala dstv wala Bein kote huko wote mnaona kitu kimoja tu
 
Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mashabiki wa Waydad ndiyo hawa wanywa supu ya vibudu ?
 
Kutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe kwakua matumaini uwa makubwa kuliko uhalisia wa timu husika iliyotegemewa kushinda.
Yanga si wanaongoza kundi lao!

Hakuna Utopolo ako na akili asee!
 
Kutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe kwakua matumaini uwa makubwa kuliko uhalisia wa timu husika iliyotegemewa kushinda.
Bora unyamaze mzee unazeeka vibaya..
 
Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI VITU VIMEFANYIKA KWA WAARABU SI VIZURI AZAM KUONESHA JAMBO BAYA LINALIFANYIKA KWA WATU HAO.
 
Back
Top Bottom