Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,041
- 12,524
GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.
Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.
Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau