Mashabiki wa Mh. Lissu siyo watanzania

GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.

Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.

Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau
Kwenye huo utafti umetumia methodology zipi hadi kupata conclusion?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadeki kila wanalojaribu watu wapo ni mwendo live bila chenga mwaka huu mtaacha kila.kitu ..... ile damu , maumivu na Sala za wananchi juu ya lisu uataatesa .

Wakowapi waliosma.akitoka huko lisu hataongea tena eti atakuwa anaogopa
 
GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.

Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.

Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau
Sample ya utafiti wako ni ipi? Ungetaka kujua ungeshauri polisi waruhusu Tshirt zenye maandishi - Pray For Lisu. Labda ungeona wabeba mabox kwa sample kamili.
 
GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.

Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.

Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau
Unatuchanganya,Unamaanisha wabeba box raia wa Tanzania wanaoishi huko nje au wabeba box raia wa hizo nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.

Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.

Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau
mimi nashabikia anayofanya lisu na nipo bongo cjawahi kwenda hata huko ulaya. ujinga ni pale mtu banapofikiria kuwa aliyepigwa risasi anakosea anapomsema aliyempiga/ magufuli ?
kuhusu mbowe tufanyaje wakati kafungwa na aliyempiga risasi lisu? wilbroad mashaur leo jaji? unaachaje kuamini
wasalimie huko job
 
Wajinga wachache wenye ID 100 kila kila mtu walahi
Wewe huoni msemo wao ni mmoja?
Hakuna kitu hapo walahi ni ushuzi mtupu, hewa chafu itapita tu walahi
Dadeki zao fanatic fools walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GTs,
Umofia kwenu. Asubuhi njema kabisa ndiyo najiandaa kwenda job.
Nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua wanaompatia kichwa cha kutukana serikali mh. Lissu hawapo Tanzania, wengi ni wabeba box huko nchi za ng’ambo. Tena ukitaka kuwafahamu vizuri hebu waambie juu ya sheria na taratibu za nchi yetu, yaani hawajui kitu.

Ukitaka pia kuhakikisha tizama jinsi ambavyo wanamuacha mwenyekiti wao wa kikundi cha upinzani Mh Mbowe akisota jela bila hata kusema lolote, na hii ni kwa sababu ni rahisi kumsemea waliyenaye ughaibuni kuliko mswahili mbowe aliye segerea.

Je hawa mashabiki wa Mh Lissu wanaijua Tanzania au wanahisia tu? Tujadili wadau
Na Maadui wa Tundu Lissu ni Wa Nchi gani?

Marekebisho, Mbowe hayuko jela ila yuko rumande, according to the comment made by ambassador Wilson Masilingi during the interview with VOA - Straight Talk Africa. The interview contacted by Shaka Ssali. Rekebisha mkuu kama alivyotaka ambassador.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom