Huyu bwana nilimuona Cape Ton majuzi kwenye maonesho ya mkutano wa masuala ya madini Africa....alikuwa ana-lobby wawekezaji wanataka kuja Tanzania kuitumia kampuni yake ya sheria ili kurahisisha shughuli zao. Hilo kwangu halikuwa tatizo kwani ni suala la biashara zake na kila mjasilimia analifanya.
Alichonikera ni kudanganya kwamba ameamua kuacha siasa kwani alikuwa anapoteza muda mwingi bila tija na kushindwa kufanya miradi yake. Jingine alikuwa anajitangaza kuwa " I have connections to the inner circle of government decision making"......hapa ni uccm wake na urafiki wake na wakuru!!!!!!!
Anaendelea kuzichota kupitia mikataba mibovu. Siku za karibuni kuna article itatoka mahala "Masha aendeleza ufisadi kama wakili kwa kusign mikataba mibovu" 10% anatengeneza kwa sana tu. Tz. bado tumelala amini msiamini. Msg.sent.