Masauni: Wiki ya nenda kwa usalama barabarani yafutwa rasmi

Wadau kuna Traffic anaonekana kama Vehicle Inspector kavaa koti anazunguka city centre kwenye parking anakusanya elfu tano tano kwa kila gari... Nauliza hii wiki ya usalama umerejeshwa kinya kimya au ni Taperi hili jamaa Msaada please kwa Police member wa Jf
 
Mzee wiki mbili sasa kalipie kabla hawajakudaka huko barabarani
 
Back
Top Bottom