Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

Sidhani kama kuna M bunge yeyote kutoka Kusini ataunga Mkono hoja yoyote Bungeni isilo na manufaa kwa wanakusini (kama kawaida ya Wabunge wetu)na akawa salama Jimboni kwake kwa mwendo huu.
 
Kutokana na vurugu zinazoendelea wilayan masasi,inasemekana watu saba wauwawa na polisi mmoja ajeruiwa na wananchi.
 
Hutuna sababu yoyote ya kushanga yanayotokea Mtwara kwani yoto hayo huletwa na serekali yenye mfumo wa Kibwanyenye,Lazima Tuamka kudai Malili zetu zinatumika vipi
Nchi yetu haiwezi kuendelea kuwa na serikali yenye mfumo wa kibwanyenye, watu wakiitumikia serikali badala ya serikali kuwatumikia wao. Ukandamizaji lazima uishe haraka sana,wizi lazima uishe,kuibia wananchi ni dhambi na ni usaliti. Ni wakati sasa kwa nchi yetu kurudi katika dira,ni wakati kwa nchi yetu kuona maendeleo yake. Ni wakati sasa kwa nchi yetu kuona jua la asubuhi likiangaza,ni lazima
tujenge Taifa la watu huru na wenye matumaini. Hatuwezi kuendelea na ukandamizaji hili ni Taifa moja na watu wetu ni lazima wawe huru.

Vurugu%252520Mtwara%25252026%252520Jan%25252013%252520a_thumb%25255B2%25255D.jpg
 
Heri yako uliyebarikiwa kuziona alama za nyakati za uwongo.......Nguvu ya umma gani unaosema?.

Nafikiri labda huelewi maana ya nchi kutotawalika na kutokana na hilo ni vizuri tukubali kutokubaliana. Keep on your chimera.

Acha kuendelea kuonyesha ujuha wako. Dalili za nchi kutotawalika zimetapakaa kila kona ya nchi lakini kipofu wewe hutaki kuziona katika jitihada zako za kusadikika kuvilinda vijisenti vyako ulivyovipata kupitia ufisadi, eti nchi itatawalika tu. Msome Ulimwengu labda atakusaidia kupunguza ujuha wako unaoendelea kuuonyesha.

Raia Mwema - Hii ni harufu mbaya tu, Ibilisi bado hajaenda msalani
 
Hayo ni mawazo yake kama na mimi nilivyo na ya kwangu, unaweza kuyakubali au kuyakataa..........By the way, who is Ulimwengu in this world...............Mungu alikupa akili ile ile kama aliyotumia kufikria na kuandika hiyo article, itumie akili uliyopewa bure na Mola katika fikra.........ndiyo maana nikasema kama fikra zako hizi siyo za mgando basi acha niendelee kuwa na fikra zangu mgando........hata article ya Ulimwengu nayo una copy & paste kwenye ubongo. Cummon dude.
 
Hayo ni mawazo yake kama na mimi nilivyo na ya kwangu, unaweza kuyakubali au kuyakataa..........By the way, who is Ulimwengu in this world...............Mungu alikupa akili ile ile kama aliyotumia kufikria na mkuandika hiyo article, itumie akili uliyopewa bure na Mola katika fikra.........ndiyo maana nikasema kama fikra zako hizi siyo za mgando basi acha niendelee kuwa na fikra zangu mgando........hata article ya Ulimwengu nayo una copy & paste. Cummon dude.

Ulimwengu is nobody after all he is a foreigner...kweli wewe ni juha endelea na ujuha wako wa kujiona ni genius kumbe ni juha wa kutupa.
 
Mtwara leo ndo wanaamka?? kwa miaka yote tangu uhuru wabunge wote wa Mtwara wametoka CCM!

Sasa nani wa kumlaumu hapo??
 
Ulimwengu is nobody after all he is a foreigner...kweli wewe ni juha endelea na ujuha wako wa kujiona ni genius kumbe ni juha wa kutupa.

Kwanini msielewane nyie watu? Mnakuwa kama wananchi wa Mtwara na Serikali yake...Maelewano hamna sasa ni makonde tu hadi kielewweke!!!
 
Ulimwengu is nobody after all he is a foreigner...kweli wewe ni juha endelea na ujuha wako wa kujiona ni genius kumbe ni juha wa kutupa.

Thanks mkuu,
Acha niendelee kuwa juha katika mboni ya jicho lako la fikra tegemezi.........Nani kakwambia mimi ni genious?. Kama kuwa na mawazo yasiyo tegemezi ni kuwa genious, sina tatizo na hilo.

-Ninapenda tukubali kutokubaliana kwa hili kama ishara ya respect na humility but don't forget to start standing on your own.

-Utegemezi hasa wa fikra ni hatari sana katika jamii. Lazima tuuogope kama ukoma.
 
Hakuna utegemezi wa fikra acha ujuha wako wa kutupa. Mawazo yangu na yale watetezi wote wa rasilimali za nchi kutaka rasilimali hizo ziwanufaishe Watanzania yanapokuwa yanashabihiana haionyeshi utegemezi wa fikra kudhani hivyo ni ufinyu mkubwa wa kuchanganua mambo. Acha ujuha wako kutetea dhambi kubwa na udhalimu wa kutisha unaoendelea katika kila kona nchini.
 
Kwa ufupi wa fikra za chama cha majambazi hawakujua kama maovuna, wizi na ukandamizaji wote waliotufanyia kama mwisho wake hautokuwa kama hivi? Kila shm ktk nchi yetu Polis wanalalamikiwa kwakutotimiza wajibu wake na ukandamizaji wa raia na serikali imelifumbia macho nadhani kila mmoja anatafuna hii nchi atakavyo na mwisho wake upo na waja kwani hayo ya masasi na kwingine ni mwanzo tu.

yeah baada ya update ndio imeleta maana
 
Hakuna utegemezi wa fikra acha ujuha wako wa kutupa. Mawazo yangu na yale watetezi wote wa rasilimali za nchi kutaka rasilimali hizo ziwanufaishe Watanzania yanapokuwa yanashabihiana haionyeshi utegemezi wa fikra kudhani hivyo ni ufinyu mkubwa wa kuchanganua mambo. Acha ujuha wako kutetea dhambi kubwa na udhalimu wa kutisha unaoendelea katika kila kona nchini.

Mkuu,
Ngoja nikuweke sana. Ninafikiri labda unapiga kelele bila hata kuelewa hoja zangu.

Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka raslimali za nchi ziwanufaishe wananchi wake. Mikataba ya raslimali za wananchi lazima iwe wazi. Mapato ya biashara za raslimali za nchi lazima wananchi wayafahamu. Huu ndiyo msimamo wangu.

Kitu ambacho sikubaliani nacho na ndiyo hoja ya msingi hapa ni hii dhana na kelele ya watu hapa janvini kusema nchi haitatawalika/haitawaliki na kushangilia kama siyo kusifia yaliyotokea Masasi ambapo waharifu wamefanya maovu na kuharibu mali za watu wasio na hatia na kuharibu vitendea kazi na majengo ya nchi.

Mimi ninasema, nchi inatawalika/itatawalika bila tatizo kwa sababu Watanzania walio wengi wanajua nini maana ya kutatua matatizo kwa njia ya hekima na busara.

Natumaini umenielewa. Destinatio.
 
Kwa kweli serikali inatakiwa iangalie hili swala kwa jicho la tatu,sio kwa majibu ya kibri na dharau ya viongozi wetu,ile ni mali ya wananchi lazima wasikilizwe
 
Mkuu,
Ngoja nikuweke sana. Ninafikiri labda unapiga kelele bila hata kuelewa hoja zangu.

Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka raslimali za nchi ziwanufaishe wananchi wake. Mikataba ya raslimali za wananchi lazima iwe wazi. Mapato ya biashara za raslimali za nchi lazima wananchi wayafahamu. Huu ndiyo msimamo wangu.

Kitu ambacho sikubaliani nacho na ndiyo hoja ya msingi hapa ni hii dhana na kelele ya watu hapa janvini kusema nchi haitatawalika/haitawaliki na kushangilia kama siyo kusifia yaliyotokea Masasi ambapo waharifu wamefanya maovu na kuharibu mali za watu wasio na hatia na kuharibu vitendea kazi na majengo ya nchi.

Mimi ninasema, nchi inatawalika/itatawalika bila tatizo kwa sababu Watanzania walio wengi wanajua nini maana ya kutatua matatizo kwa njia ya hekima na busara.

Natumaini umenielewa. Destinatio.

Akili zako mgando kweli unauona uharibifu uliotokea Masasi na kuupigia kelele kwa nguvu zako zote wakati huo huo ufisadi mkubwa unaofanywa na wizi wa matrilioni ya shilingi za walipa kodi kupitia EPA, mikataba feki ya uchimbaji dhahabu, ununuzi wa rada,kagoda, meremeta, ujenzi wa bomba la gesi, Dowans, mabilioni ya uswiss n.k. huyaoni. Usidhani kule Masasi wamekurupuka tu na kuamua kufanya uharibifu bila kuwa na sababu ya kufanya hivyo. Wezi mbali mbali ndani ya chama na Serikali wanakingiana vifua ili waendelee kutafuna utajiri mkubwa nchini huku asilimia kubwa ikiendelea kuishi katika maisha ya dhiki. Eti unataka kuniweka sawa, kamwe huwezi kuniweka sawa na akili zako mgando kwanza weka sawa akili zako mgando kabla hujajaribu kuwaweka sawa watu wengine. Endelea kuishi na ujuha wako kwamba nchi itatawalika wakati kila kona ni maandamano ya Wananchi waliochoshwa na kutaka kuchukua sheria mikononi mwao baada ya hao ambao wanatakiwa wawe watetezi wa Watanzania kushindwa kufanya hivyo na kuamua kuweka maslahi yao binafsi mbele badala ya yale ya nchi na wananchi. Hata siku moja siwezi kumwelewa mtu mwenye akili mgando ambaye uwezo wake wa kuchanganua mambo ni finyu mno.
 
....... Endelea kuishi na ujuha wako kwamba nchi itatawalika wakati kila kona ni manandamano ya Wananchi waliochoshwa na kutaka kuchukua sheria mikononi mwao baada ya hao ambao wanatakiwa wawe watetezi wa Watanzania kushindwa kufanya hivyo na kuamua kuweka maslahi yao binafsi mbele badala ya yale ya nchi na wananchi. Hata siku moja siwezi kumwelewa mtu mwenye akili mgando ambaye uwezo wake wa kuchanganua mambo ni finyu mno.

Angalia ulivyo na akili rahisishi, eti maandamano kila kona!!!............hivi unasema ili uonekane umesema au unasema kwa maana........kona zipi hizo za Tanzania yenye mikoa 30..............hata kama ni maandamano, kwani tatizo ni nini?..........maandamano ni haki ya msingi ya raia lakini kwa macho ya fikra zako finyu unaona kama ni kitu cha ajabu.........open your eyes.

Kama unataka kuniambia kilichokua kinafanyika Masasi ni maandamano basi unahitaji somo la uelewa wa uraia............kama unataka kuniambia walichokifanya bodaboda ni chuki kisiasa basi hao ni waharifu na nguvu ya dola lazima iwashulkie kwa sababu kuna njia zimeainishwa kikatiba za kudai haki.

Unaruhusiwa kujipa moyo na kusema wananchi wote wamechoka na kilichobakia ni mapinduzi ya nguvu ili kuondoa utawala (overthrow the government)..................sina budi kukupa pole kwa fikra na njozi za alinacha...............you'll wait forever.

Sanduku la kura ndilo litakaloitoa serikali madarakani na siyo rhetoric kama yako.

Why can't you go to ground zero and test the water level instead of using keyboard with words full of hogwash.
 
Back
Top Bottom