Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,085
- 1,083
uwongo Mwingine hata mtoto mdogo humuongopei eti chama kinachofanya shughuli kisiasa ni chadema!!! ukifika masasi ni bendera za cuf na ccm
Vichekesho vya chakubanga enzi hizo, alisimua jinsi wananchi wanavyoishi kwenye nyumba duni za udongo na nyasi lakini wanafarijika kwa sababu nguzo kubwa za umeme zimepita kijijini kwao.