Sio tusi hilo usinitafutie ban.Matusi ya mini mkuu? Ungeeleza bila matusi ungeelewaka tu mkuu. Usiku mwema
Shangaa sasa hivi watu kazi yao huwa ni kuboreka tuuu??? Hajaona zuri lake??Acha usengerema, maelezo aloyatoa alikuwa anahojiwa na msomaji wa taarifa ya habari Mara baada ya Massare kumaliza kusoma habari.
Masare ni mtangazaji mzuri sana wa michezo. Naweza kusema, kuliko television zote. Ila kwenye taarifa ya habari ajitahidi kusummarize kidogo. Otherwise, inakuwa shida. I don't have problems with him, he is talented, young, enthusiastic. Yuko vizuri sana kwenye sports.Massage unaboa, hiyo ni taarifa ya habari sio michezo. Unapaswa kuongea in summary tu, Ku sumup taarifa ya habari. Sio wote ni wanamichezo. Sasa baada ya habari, mnajadili kama spoti leo. Please jirekebisha, unaboa. Na siyo Mara moja
No. To me he is arguably the best Sports TV commentator. Hilo halina shaka. My only problem, ni kwamba kwenye news, baada ya habari zote including michezo, I don't see the need of spending more than five minutes discussing about whatever has already been mentioned on the sports news. A brief summary, would simply be enough.Shangaa sasa hivi watu kazi yao huwa ni kuboreka tuuu??? Hajaona zuri lake??