Masanja Mkandamizaji na liwaya!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Massanja mkandamizaji:- "ubossy lady" mwachieni Oprah utawatokea puani dada zangu! Ukiona wanawake siku hizi wenye sentisenti hawana kazi yakueleweka wana magari yakifahari, nyumba za kutishia amani, chai anakunywa kempisky, lunch fish market, shopping Dubai au Europe, wana jeuri hawaolewi wala hawana maboyfriend wakudumu kisa hawataki kutawaliwa na wanaume eti nao wanajiita kabisa "bosslady" matumbo makubwa km pakacha sababu yakubeba shehena za sembe! Ukimpa offer anakula vijiko viwili anajidai kashiba wakati anabeba sembe kilo 10 bila shida! Wanajifanya hawataki kuzaa wakati matumbo yameshalegea na shehena za sembe! Wanapenda sifa zisizokuwa na maana mwanamke anadindiana na mwanaume bila woga, eti siku hizi nao wanatembea short gun kwny pochi wanawake na maendeleo tubebe sembeee!!! Dada zangu mtakufa kisa sembe.
 
Hahahahaha hii makavu live lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Baadhi watakuwa wanaugulia maumivu hapo walipo kwanini wamesoma huu uzi lol!
 
Wangekuwa ni wa kujifunza wangeshaacha siku nyingi sana.
Sikio la kufa halisikii dawa
 
ah! wqmezidi tu hawa na matamaa....
 
Ni kama wamezibwa macho na masikio
Hata useme hawakuelewi hata wafanywe nini hawajali.

Tumezaa siyo watoto tena ni laana hizo.
 
Wabeba sembe hawana nafasi kuingia jf. Wanauza sura instagram na fb na mapicha ya shopping. Humu tupo wachovu tunaugulia hela za kuhesabia mfukoni
kwa hiyo jf ni kwa wagumu/wasiopenda makuu au siyo
 
Wabeba sembe hawana nafasi kuingia jf. Wanauza sura instagram na fb na mapicha ya shopping. Humu tupo wachovu tunaugulia hela za kuhesabia mfukoni

Aisee! umejuaje? umenifurahisha sana mkuu Dah! hii fungia mwaka hatari sana mkuu.
 
Semeni mpaka mtachoka na hawataacha ng'o kwani mbele ya pesa kuna kitu wanaogopa hao..?? Alikuwepo Mseminari na Gari zake nyekundu lakini watu walikuwa wanaenda bila kujali, itakuwa hiyo ya kufungwa miaka mitano tu.....
 
Yaani ni kama umeongea nao
Nilijaribu kumhoji binti mmoja amesema hajali
hata hiyo siku kama mzigo upo yuko tayari kumeza;

Hii kitu ni hatari sana.

Mamndenyi hii ni aina mpya ya kujitoa muhanga.!
 
Last edited by a moderator:
eeeh mungu wape mahakimu wanaosimamia kesi hizo busara za kuwahukumu hao wabeba sembe ya kunyongwa mpaka kufa.hii miaka mitano mitano haisaidii.
 
Yaani ni kama umeongea nao
Nilijaribu kumhoji binti mmoja amesema hajali
hata hiyo siku kama mzigo upo yuko tayari kumeza;

Hii kitu ni hatari sana.

Hivi wanameza?au wanaingiziwa kwa nyuma,hivi kitu kinaweza kupita kwenye mfumo wa chakula bila kuharibiwa na nyongo?fanyeni uchunguzi wa matundu yao ya nyuma kama hayajalegea.
 
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaa jamani nawe ushaanza kama Bujibuji na Mtambuzi
angalia yatakushinda kwani naona unadandia meli kwa mbele utapakuliwa wewe haya
 
Last edited by a moderator:
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe nashangaa wanavyowasema ovyo hao
Semeni mpaka mtachoka na hawataacha ng'o kwani mbele ya pesa kuna kitu wanaogopa hao..?? Alikuwepo Mseminari na Gari zake nyekundu lakini watu walikuwa wanaenda bila kujali, itakuwa hiyo ya kufungwa miaka mitano tu.....
 
Wabeba sembe hawana nafasi kuingia jf. Wanauza sura instagram na fb na mapicha ya shopping. Humu tupo wachovu tunaugulia hela za kuhesabia mfukoni

Hapo umegonga ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…