Masanja Mkandamizaji aokoka

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,587
52,261

Na Musa Mataja
Muigizaji ‘brazameni' wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' (pichani) Aprili 17 mwaka huu alibambwa nje ya Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam akihubiri Injili laivu na Askofu wake Bruno Mwakibolwa, Risasi Mchanganyiko lina ripoti kamili.

Tukio hilo la aina yake lilinaswa na paparazi wetu pande hizo ambako kulikuwa na mahubiri ya kufikikisha ujumbe kwa waumini waliokuwa wakipita katika eneo hilo.
Msanii huyo alionekana akiwa mstari wa mbele na kuwafanya baadhi ya wapita njia kuacha shughuli zao na kusogea eneo hilo.
 
Na Musa Mataja
Muigizaji ‘brazameni’ wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ (pichani) Aprili 17 mwaka huu alibambwa nje ya Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam akihubiri Injili laivu na Askofu wake Bruno Mwakibolwa, Risasi Mchanganyiko lina ripoti kamili.

Tukio hilo la aina yake lilinaswa na paparazi wetu pande hizo ambako kulikuwa na mahubiri ya kufikikisha ujumbe kwa waumini waliokuwa wakipita katika eneo hilo.
Msanii huyo alionekana akiwa mstari wa mbele na kuwafanya baadhi ya wapita njia kuacha shughuli zao na kusogea eneo hilo.

Bwana asifiwe sana.
 
Na Musa Mataja
Muigizaji ‘brazameni' wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' (pichani) Aprili 17 mwaka huu alibambwa nje ya Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam akihubiri Injili laivu na Askofu wake Bruno Mwakibolwa, Risasi Mchanganyiko lina ripoti kamili.

Tukio hilo la aina yake lilinaswa na paparazi wetu pande hizo ambako kulikuwa na mahubiri ya kufikikisha ujumbe kwa waumini waliokuwa wakipita katika eneo hilo.
Msanii huyo alionekana akiwa mstari wa mbele na kuwafanya baadhi ya wapita njia kuacha shughuli zao na kusogea eneo hilo.

Khofu yangu ni kwenye hiyo source tu, highlighted in red.
 
Ndugu, mi mamndenyi nawahi foleni, ila nitaendelea kuwajibu kesho Mungu akipenda, Good evening, and also good night
 
Mpeni bwana sifa, utukufu na adhama kwani sisi sote ni waokovu watarajiwa.

Ameni
 
Wafanyakazi ni wachache mavuno mengi shambani kwa Bwana.its good kama akiongeza namba ya wafanyakazi
 
1.kama alikuwa anarekodi kipindi je????????
2.yeyote aweza kuokoka.
 
magarisafi.gif
pencil.png
 
Ni kweli kaokoka,angalia kwenye blog yake inaitwa kandamiza
 
Mgagaa na upwa hali wali mkavu. HIVYO HIVYO MWANANGU siku moja utajikuta umetua pwaaaaa kwenye tukio. (ufalme wa mbinguni)
 
Back
Top Bottom