REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Baada ya wale wasaliti wa CHADEMA akina Mtela Mwampamba,Juliana Shonza,Mchange na wengineo
kutimuliwa CDM,wapo waliojiunga na ccm.
Lakini mara baada ya sakata la MM na akina M1 kujitokeza,hawa masalia ambao wapo ccm wamekuwa
karibu na Zito na kumsaidia katika mambo mengi ikiwemo kuandaa mikutano ya Zito na waandishi wa habari.
japo wako ccm
Sasa bosi wao huyu ZZK tayari ana chama cha ACT,je ninyi au hawa jamaa walioenda ccm,mtabaki ccm huku
mkiendelea kufadhili ACT? au mtahama na kuhamia ACT ili kumuunga mkono bosi wenu ZZK.