huyu mchange amekuwa kama bodyguard wa zitto..especially wanapoenda kuroga
Aliyeshusha thamni ya urais TZ ni chama cha madalai kupitia JK too dhaifu too weak kiasi kwamba sasa hata watoto wa chei chei shangazi nao wanaomba kugombea urais. shame on CCMKadri siku zinavyokwenda thamani ya URAIS inazidi kushuka sana Tanzania. Kila mtu anaota kuwa anaweza kuwa rais
Mchange ndo yupi hapo mkuu?