Masalia: Mikakati Inaendelea

Masalia: Mikakati Inaendelea

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
attachment.php


zitto na masalia ndude habib mchange wakiwa dar live.mjumbe hauawi
 

Attachments

  • zitto1.JPG
    zitto1.JPG
    41.7 KB · Views: 852
Huyo anaerembua ni mende nini ? Mbona anamuangalia mwenzie ki....
 
Eti kikwete alipata umaaru kwa kwenda club, teh teh...! Hatukamatiki tena, hatukamatiki.. Ng'o!
 
Vijana wadogo lakini wanga vigagula nyambafuu zitto na masalia wake
 
Jamani naombeni mtupie picha za masalia leo ndo naona picha ya mchange tunaomba za masalia wengine jamani tuwafahamu pia ya kamanda mzalendo kiboko ya wasaliti mwana fbi mtanzania ben tumfahamu
tupieni picha zao wanajamvi hata kwa kuzianzishia threats ladies first anzeni wa kwanza juliana then wengine
 
Achana naye huyo labda awe Rais wa Kigoma urais wa tanzania hawezi pata. Mungu yuko kazini
 
Siasa mbaya za chuki,kupakana matope ni siasa ambazo inabidi tusali ili kama ni pepo litupitie mbali. Maana nguvu mnazotumia kumshambulia Zitto nawaza mtakapofanikiwa atafata nani???
 
Yule mwenye kiremba kama vile anasema "Zitto utakapokuwa raisi, ukanipa huo uenyekiti wa Bavicha taifa, Dr Slaa na wale wanoko wote nitawafanya waache uanachama CHADEMA. sUBIRI UTAONA"
 
attachment.php


Masalia orijino! bila shaka alipotia timu pale Dar Live panya wote walikimbia kwenda kujificha baharini
 
Ila tuacheni uwongo jamaa sura yake imekaa kichawi chawi sana,jana alipita karibu na kwangu panya wote wakafa thax zito kwa kuniulia panya.
 
Back
Top Bottom