Masaki na Sinza

Masaki na Sinza

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,422
Sinza kwa wajanja bwana, lakini Masaki wako njema, lakini vijana wa Sinza na vinoti vyao vya kuunga unga wanawapiga mkwara watoto wa mapdj wa Masaki hadi wanaogopa. Hii imekaaje?
 
Siku zote mwenye fedha hapendi violence , sababu ana mengi ya ku loose kama akiendekeza violence, hao wenye pesa za kuunga unga ndio wenye tatizo , huku Ushuanikwenye upepo unapo vuma kwa wajanja wa ukweli , hatuna violence ni amani na usalama ndio mana hatufungi milango usiku , hakuna wezi wala vibaka .Jiulize unapo lala usiku unafunga komeo ngapi, huku sisi tuna ving'ora vya Ultimate Security just incase kuna vibaka, ambao hatujawahi waona .
 
Back
Top Bottom