Masai tuliofanikiwa kimaisha Zanzibar

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,778
32,586
1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha,
2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha
3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido.

NB: Muungano udumu milele.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii video haieendani na uzi
Mtu mzima unakuwa proud na masai kucheza na mzungu ๐Ÿšฎ
 
1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha,
2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha
3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido.

NB: Muungano udumu milele.
Mkuu Hongera,
Mimi naomba kazi mkuu.
 
Kipindi hicho cha 1999 nasikia kiwengwa wamasai walikuwa wanatoa tigo kwa wataliano ati kweli?.
Ukiangalia comments za wana JF walio wengi mmojawapo ukiwa wewe, kutoa jicho ni kitu rahisi sana kwenu nyie huko Dar na Zanzibar na kila mtu mwenye .afanikio huko Dar ni lazima atoe tigo. Eti kuna wengine wananunulowa simu na kuvunjwa duka huko Dar na Zanzibar kwenu ila Hakuna masai chini ya Mbingu anayefanywa hovyo.

Sisi tunaoa na kuvikaza vibinti na vizee vya kizungu tu ndio maana nyie wazanzibar mnatuchukia. Sisi tunatembea na Mkuyati na ๐Ÿ”‹ nyingi pia kale kangozi kanakoninginia ndio Dada, Shangazi, Bibi, Mama na watoto wenu wa Kizanzibar wanatupendea. Aibu kwenu mnaokazwa.
 
Dingi la mishe mimi nimeuliza swali tu naona wewe umetumia hamaki kujibu, Kama nilivyosema mimi nimesikia sio nimesema.
 
Hata leo nimekutana na kundi la vijana wa Kimasai wakitokea Handeni mkoa wa Tanga, wanakwenda Zanzibar kupitia Dar.

Saa100 amewaamsha wamasai baada ya kuwahamisha Ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ