masai na majani ya kuwasha.

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
kuna masai mmoja alipanda gari walipo fika kati ya safari wakaambiwa wakachimbe dawa.masai akaenda haja kubwa baada ya kumaliza akachukuwa majani akachambia kumbe majani yale ni ya kuwasha kurudi kwenye gari masai kiti hakikaliki kuona hivyo akaanza kupiga kelele dereva simamia gari kiti haikaliki..
 
kwahiyo? Mbona haieleweki wala haichekeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…