Masai kanisani

Masai kanisani

Dony45

Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
51
Reaction score
7
Masai alienda kanisani na mbuzi wake.
Pasta:masai ingia kanisani mbona unaishia nje?
Masai:unazani mi mujinga sio? Si nasikia simba wa yuda yupo ndani, atakula mbusi yangu.
 
Jokes/vichekesho vinavyohusisha wamasai vinanifurahishaga sana because
Masais are people who speak up their minds openly with sincerity.
 
Back
Top Bottom