kuna masai mmoja alikuwa nje ya mlango wa kanisa amekaa wakati ibada inaendelea mara mchungaji akapita mlangoni akamuona akamuuliza YERO mbona uko nje
MASAI; unasani mi ni mjinga nimesikia wakisema kuna SIMBA YA YUDA iko inaunguruma.
MCHUNGAJI; akabaki kushangaa.!