Masai dada akienda kuripoti chuo

Masai dada akienda kuripoti chuo

mshana jr huyo dada kama angekuwa anatafutwa hiyo picha isingesaidia kumtambua? Inawezekana ikawa simple sana kuweka picha kama hiyo, lakini hatujui binti wa watu atapata shida gani anapofanya mabadiriko au hata utani atakaoupata kila siku kutoka kwa watu wanaomzunguka. Sitarajii kama angekuwa dada wa mwanzisha thread angeweza kumposti humu, kwa maana sio vizuri. Ila kwa sababu hawana uhusiano, haijawa tabu kuirusha.
Ozzie we see things in different perception, Natambua hisia zako katika hili. . .!!
 
Last edited by a moderator:
View attachment 194898

Kamera yangu imemnasa akienda kuripoti mabibo hostel akiwa na tranka pamoja na ndoo ya maji...tayari kwa kuanza chuo.

Maisha club,bilicanas,samaki samaki,Thai village,Masai club,coco beach,sea cliff,slip way,jolly etc....zote zinamsubili yeye Mtoto wa mfugaji huyu mungu mnusuru na majanga Haya amalize ka degree kake salama!!!
 
Wote wameswa UKIMWI bado upo waamue kusuka au kunyoa. Na Mungu akizidi kutulaani EBOLA ikabisha hodi ndio twafa wote kwa maana TZ hatujawahi kujua jinsi ya kupambana na magonjwa ya mlipuko.
 
Nisamehe mama wa mabinti zetu......

Nimakusamehe ila mwambie zile gari nyeusi zenye sura ya nguruwe asipande atapotea trunker na ndoo tutavikuta mabwepande likisimama tu akimbie maana bado tunampenda
 
Back
Top Bottom