Masahihisho ya taarifa ya bodi ya mkopo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,000
TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOOMBA MKOPO 2016/2016. kumekuwa na taarifa zisizo rasmi juu ya utolewaji wa majina ya wanafunzi waliokosea kuwa yameshatolewa ila naomba niwekr sawa.bodi ya mikopo inawatangazia waombaji wa mikopo kuwa kuanzia j3 october itatoa majina kwa wale waliokisea taarifa mfano kutoweka picha ya mzamini,picha yake,sahihi ya mzamini au sahihi yake pia na maelezo mengine kama muhuri au matokeo ya form four kutokuwepo tafadhali share ujumbe huu kwa waombaji wote wa mkopo mwaka huu.usikose kutembelea page ya tanzania yetu hapa facebook kwa habari zaidi.
 
Kwani mwezi October una Jumatatu moja? Pili hebu tulia ili uandike kitu cha maana kwa lengo la kuwadaidia watu. Mbona umeandika kwa haraka sana?
 
majina ni kesho jaman ndo maana nikasema nasahihisha taarifa..wao wameandika sept 03
 
TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOOMBA MKOPO 2016/2016. kumekuwa na taarifa zisizo rasmi juu ya utolewaji wa majina ya wanafunzi waliokosea kuwa yameshatolewa ila naomba niwekr sawa.bodi ya mikopo inawatangazia waombaji wa mikopo kuwa kuanzia j3 october itatoa majina kwa wale waliokisea taarifa mfano kutoweka picha ya mzamini,picha yake,sahihi ya mzamini au sahihi yake pia na maelezo mengine kama muhuri au matokeo ya form four kutokuwepo tafadhali share ujumbe huu kwa waombaji wote wa mkopo mwaka huu.usikose kutembelea page ya tanzania yetu hapa facebook kwa habari zaidi.
nanga wewe unatafuta kiki kwetu
 
Back
Top Bottom