Masahihisho kuhusu Uganga na Uchawi

Masahihisho kuhusu Uganga na Uchawi

Kaka amini nakwambia njoo tufanye chimbuko la ukoo wako; sitatumia chochote kile cha dumba nop; mimi nitapiga ngoma tu na kuimba kuita mizimu ya kwenu then uone mizimu yako itakachokwambia; waweza kuja na mkeo au hata wanao washuhudie utakachoambiwa na mababu zako. Unaweza vheza ngoma balaa kama mizimu yako itafurahi ama kukunyoosha kama unajifanya jeuri.

Kila mtu ana shina lake; utake usitake as long as umezaliwa hapa duniani basi una mizimu ya kwenu.
Mkuu nataka nikuone
 
Mizimu ina nguvu sana; watu wengi wanapata adhabu bila wao kujua kwa nini; kumbe babu zao waliabudu hiyo mizimu toka enzi na enzi; sasa kizazi kipya kinaacha na kuona ni mambo ya kale hapo ndipo matatizo yanapoanza; ukoo unakuwa wa kufa hovyo hovyo kwa kuugua ama kwa ajali ama ukoo hawaolewi wala kuoa wanaishi kihunihuni tu ama ukoo wa mashoga na wasagaji hayo yote yanatokana na laana kutoyajali maagano ambayo mababu yali sign.
Nitakupataje mkuu unipe darasa?
 
Asante sana nyote kwa darasa walahi
 
Kaka amini nakwambia njoo tufanye chimbuko la ukoo wako; sitatumia chochote kile cha dumba nop; mimi nitapiga ngoma tu na kuimba kuita mizimu ya kwenu then uone mizimu yako itakachokwambia; waweza kuja na mkeo au hata wanao washuhudie utakachoambiwa na mababu zako. Unaweza vheza ngoma balaa kama mizimu yako itafurahi ama kukunyoosha kama unajifanya jeuri.

Kila mtu ana shina lake; utake usitake as long as umezaliwa hapa duniani basi una mizimu ya kwenu.
Nitajuaje mizimu ya kwetu?
 
Mkuu, kama mimi sitaki mazoea nao (kupangiwa) na ninataka niishi kivyangu, nafanyaje ili kila mtu achukue hamsini zake?
FUSO
 
Back
Top Bottom