proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,481 Reaction score 1,356 Sep 1, 2016 #1 Wadau naombeni kusaidiwa jambo moja, Nimejiunga kwenye group mojawapo la whatsap Sasa nahitaji kujitoa na admin asiweze kuniadd Tena, maana kila nikijaribu still na addiwa Tena. Sitaki kumblock admin ila nataka asiweze kuniadd Tena baada ya kuleft.
Wadau naombeni kusaidiwa jambo moja, Nimejiunga kwenye group mojawapo la whatsap Sasa nahitaji kujitoa na admin asiweze kuniadd Tena, maana kila nikijaribu still na addiwa Tena. Sitaki kumblock admin ila nataka asiweze kuniadd Tena baada ya kuleft.