masaburi hana ubavu wa kuvunja ddc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

masaburi hana ubavu wa kuvunja ddc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Aug 12, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,114
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Waziri wa TAMISEMI ametoa tamko kuwa masaburi hana mamlaka ya kuivuja bodi ya ddc. Source taarifa ya habari tv.Hawa magamba cjui vp hivi masaburi na tumbo lote lile kama pipa hakuona aibu kabisa kutangaza kuwa ameivunja bodi ya ddc kumbe hana hata chembe ya mammlaka kuivunja ddc nadhani yeye ameprove kuwa anatumia makalio kufikiri na kufanya maamuzi.
   
 2. B

  Bwana bonny Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo yuko katika kundi la mafisadi
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Episode ya ngapi sasa hii?
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,114
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni episode ya tatu na bado nape na mukama watakuja na episode yao
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani bodi inateuliwa na nani?
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,161
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nchi imesimama hakuna uongozi kila mtu anasema vyake viongozi wa serikali ya CCM tangu uchaguzi wamekuwa wakisutana kwenye vyombo vya habari nadhani kuna umuhumu wa kutafuta chanzo kwa nini hawa viongozi wanashushuana wazi mchana kweupe mbele ya umma sishangai nyumba yenye Baba mzururaji siku zote utapata watoto wavuta bangi,malaya,wezi,vibaka,na wanaharamu
   
 7. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hivi jakaya yuko nchi gani leo?
   
 8. aye

  aye JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,869
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  uyooo Marekani
   
Loading...