Hivi mkuu nikitaka kwenda nchi za east africa (kenya, ug, rwanda, burundi) nini natakiwa kuwa nacho..Kenya passport ya nini?
Mkuu shida n kwamba naenda kufanya kaz sasa na ofic nyingi kenya au kampun nyingi huwez kuingia bla Id ndo ttz,na ukiwa unatembe wanajesh maaskar wamejaa town unagumiana nao mda ww sasa wanaweza kukuita na kuanza kukuuliza maswali af cha kwanza n Id yako wanauliza iko wap km huna hapo umeingia kwny mattz ndo nnachotaka kuliepukaNchi za jumuiya ya Afrika mashariki hamna haja ya passpoti wala viza, ni kitambulisho chako chochote.
huko ukiwa na kitambulisho cha kura unaenda
asante mkuu ila mm nahtaj ya 5years maana naenda kufanya kaz hukoMkuu nenda wilayani na picha za passport, kitambulisho chako na elfu kumi pamoja na barua ya mwenyekiti wa serikali za mitaa ama mtendaji. Nusu saa tu utakuwa umepata ambacho kitakuruhusu kufika Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi, Malawi,Msumbiji na Zambia. Safari njema (ila kama una sura ya kisomali ama kinyarwanda itabidi uwe mpole kwa lundo la maswali). Ita expire baada ya mwaka mmoja.
Sawa mkuu naamini watakuja wazoefu zaidi nilifikiri ya muda mfupi ambayo mimi huitumia kwenye mishe za ujasiriamali. Kwa sasa natumia ya miaka 10asante mkuu ila mm nahtaj ya 5years maana naenda kufanya kaz huko
nisubiri twende woteNaenda kesho......nitafikia Eastleigh......
Hapa ndo tusiojua lugha ya malkia vizuri tunapaita Islii?Naenda kesho......nitafikia Eastleigh......
PP inatolewa kwa miaka 10 Mkuu.asante mkuu ila mm nahtaj ya 5years maana naenda kufanya kaz huko
Hapa ndo tusiojua lugha ya malkia vizuri tunapaita Islii?
Aisee tuonane basi....Naenda kesho......nitafikia Eastleigh......
Aisee tuonane basi....
Hizi ni dalili za wazi za Watanzania waliokata tamaa, hakuna kazi kenya kijana usipoteze muda wako, kwa Bakhresa wamejaa wakenya kibao wanafanya kazi, ni bora ujitume hata na kilimo cha mbogamboga au biashara ndogondogo kuliko huo mkenge unaotaka kuuingia kwa story za vijiweni.asante mkuu ila mm nahtaj ya 5years maana naenda kufanya kaz huko
Hizi ni dalili za wazi za Watanzania waliokata tamaa, hakuna kazi kenya kijana usipoteze muda wako, kwa Bakhresa wamejaa wakenya kibao wanafanya kazi, ni bora ujitume hata na kilimo cha mbogamboga au biashara ndogondogo kuliko huo mkenge unaotaka kuuingia kwa story za vijiweni.
Achilia hapo kwa machokoraa Kenya hata ungeniambia unataka kwenda South Africa kutafuta kazi pia ningekushauri acha mawazo hayo, zipo nchi za kwenda kuhemea na ukafanikiwa.