Masaada: Jinsi ya kutengeneza dvd katika mfumo wa divx au avi.

Masaada: Jinsi ya kutengeneza dvd katika mfumo wa divx au avi.

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,932
Reaction score
1,164
Wakuu, nilikua naomba kujua jinsi gani mtu unaweza kutengeneza video DVD ya collection kwa kutumia format ya DIVX au AVI ikiwa pamoja na Title na Root menu. Au kwa aliye na ufahamu wa kuweka movie nyingi ktk DVD bila kuweka ktk mfumo wa data anisaidie tafadhari.
 
tafuta software convertXtoDVD, halafu nenda >defoult setting >encoding option weka -->long project 16 min or more. jaza mzigo huku unaangalia alama nyekundu itatokea chini kushoto iwapo dvd yako iko full, punguza ikitowekwa click convert ukiwa tayari umeweka dvd kwenye drive.nb hakikisha hii software uipate na key yake au any crack kuepuka adds kwenye dvd yako.
 
Back
Top Bottom