Masaa ya driving licence TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masaa ya driving licence TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NATA, Jun 17, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuna uhusiano mkubwa wa madereva kutokufahamu sheria na ongezeko la rushwa
  Madereva wengi hawajui haki zao kisheria kunamakosa mengine mtu unapewa muda kuyarekebisha na kunamengine ni ya fine direct.

  Mie binafsi ningependa kufahamu hizo sheria na hili ongezeko la kodi ni uchochezi wa rushwa zaidi.

  Kwa yeyote mwenye kuzijua hizi sheria please saidia...

  1. Kwa mfano mtu ukiwa umesahau driving llicence yako nyumbani na ukakamatwa unakuwa na masaa mangapi ya kuweza kuiwakilisha trafiki?
  2.
   
 2. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  masaa 24, sheria inaelekeza hivyo. kwa hiyo polisi wa usalama barabaran akikukagua na kwa bahati mbaya ukawa umeisahau basi atakupa 24hrs za kuipeleka leseni yako kituo chochote cha polisi kuthibitisha kwamba una lessen
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Siku moja nilikamatwa na kijana mmoja traffik polisi na kuniambia nimwonyeshe leseni yangu. Ni kamwambia kwamba sina leseni kwa wakati huo lakini akitaka nitamletea. Akanipandishia ni kwanini naendesha gari bila leseni. Nikamwambia sijasema sina leseni ila sijatembea nayo. Akanipeleka kwa mkubwa wake aliyekuwa amekaa pembeni na kunishtaki kwamba nimemfokea. Ilibidi huyo mkubwa wake atumie busara kuniruhusu niondoke.

  Ukweli ni kwamba hata baadhi ya traffik polisi hawajui hii sheria ya kupewa saa 24 kupeleka leseni yako endapo utakuwa haujatembea nayo.

  Tiba
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Thank you !
   
 5. ABBY HAMZA

  ABBY HAMZA Member

  #5
  Oct 27, 2016
  Joined: Aug 28, 2016
  Messages: 66
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Sio hiyo tu polisi wetu hawazijui au wanapuuzia sheria nyingi tu sometimes ili kutengeneza mazingira ya rushwa
   
 6. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2016
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  wakikupa hizo saa 24 za kupeleka leseni unawaachia dhamana yoyote!?? au ndo unaondoka na kila kitu, vipi kama usiporudi!?
   
 7. M

  Mtoto Tajiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2016
  Joined: Sep 29, 2014
  Messages: 316
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  mara nyingi inatakiwa uache gari nakuifuita lesseni yako!kuendesha gari bila lesseni kwa Tanzania inaweza kuwa ni kosa la kawaida ila kwa nchi kama mozambique ni kosa la Jinai!Jela miezi sita na faini 1ml
   
 8. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2016
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kaka sheria ndio inasoma hivyo. Wa napashwa wawe na mfumo unaowawezesha kumtrace mtu endapo anashindwa kufika kituo cha Polisi kama alivyotakiwa.

  Tiba
   
 9. alphonce.NET

  alphonce.NET JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2016
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 615
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Usichukulie mambo kirahisi hivyo, sheria inampa polisi mamlaka ya kukamata gari na kuipeleka kituoni mpaka mhusika atakapoleta leseni
   
 10. Brodre

  Brodre JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2016
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Screenshot_2016-05-30-10-19-56.png
   
 11. Samcezar

  Samcezar JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2016
  Joined: May 18, 2014
  Messages: 1,906
  Likes Received: 1,359
  Trophy Points: 280
  Umekosea mkuu.....sio kuwakilisha ni kuwasilisha.......
   
Loading...