Unavidole vibaya duh haufanyagi hata mazoezi nyoronyoro kama shoriMasaa kama haya ndio yuda alikua anangojea message ya M-pesa... View attachment 496111
loohhhNimejikuta kuchekaa baada ya kuona mtu wa kwanza kukoment ni.......
hivi ulimpataje???Mimi yuda wangu yupo nyuma ya nondo tayari.
Yuda wangu ni mwizi, hakufanya makubaliano kama yule yuda wa enzi za yesu...
mwanaume walet bnaTayari nishafika pm kwako Mkuu, maana naona unachelewa kufika....
Noted!Jf kijiji mkuu....
Ebu ngoja mambo yaishe, then nitaleta mrejesho
alishajinyonga toka jana i wish ningempata kablaHiyo wallet ilikua ya yuda.....
Na huo ulikua mgao wake baada ya kumsaliti Yesu
Laki 7 zimekuchanganya nini!!!Nimejikuta kuchekaa baada ya kuona mtu wa kwanza kukoment ni.......
Ulimpata mkuu yuda wako?au ndio?Mimi yuda wangu yupo nyuma ya nondo tayari.
Yuda wangu ni mwizi, hakufanya makubaliano kama yule yuda wa enzi za yesu...