All the best
Why mary christmass and not Merry Christmass?All the best
Simply because the two are different.Why mary christmass and not Merry Christmass?
Why mary christmass and not Merry Christmass?
Huu upungufu wa kuandika maneno kwa usahihi sasa umekuwa kero kubwa kwetu wa-Tanzania, tufanye mkazo katika ari ya kujisomea vitabu vya hadithi n.k vilivyo katika lugha za Kiswahili na Kiingereza ili tuweze kuandika angalau kwa usahihi zaidi.
Thanks!!same to you!
Mkuu unaitikia tu, wewe umejua alikuwa anamaanisha nini? mary Christmass? Ni kitu gani hicho?